1 Kings 19:19

19Hivyo Ilya akaondoka kutoka huko na kumkuta Al-Yasa mwana wa Shafati. Alikuwa akilima kwa jozi kumi na mbili za maksai, na yeye mwenyewe aliongoza ile jozi ya kumi na mbili. Ilya akapita karibu naye, akamrushia vazi lake.
Copyright information for SwhKC